Jamani nahitaji msaada wenu tafadhari (tendo la ndoa)

NTALYAGA

Member
Joined
Nov 24, 2014
Posts
19
Reaction score
4
Habari wana JF,

Nina matatizo mawili 1) ninawahi sana kufika kilele ninapokuwa katika tendo la ndoa, naomba ushauri wenu nifanyaje ili niweze dumu hata japo kwa nusu saa. 2) ninachelewa kupata nguvu za kurudia game baada ya bao la kwanza.

naomba ushauri wenu pia katika hili

Asanteni wana JF
 
huu uzi wako hamishia jf doctors utapata ushauri mzuri
 
Hadi huruma.

No. I wouldn't want to be a man in my next life.
 
hali hiyomimekutokea mara ngapi? Umeanza mapenzi karibuni? Kama ndio basi ni kawaida kadri mda unavyokwenda utabadilika.
 
1) ninawahi sana kufika kilele ninapokuwa katika tendo la ndoa, naomba ushauri wenu nifanyaje ili niweze dumu hata japo kwa nusu saa. 2)

Unadumu kwa muda gani?
 
Una matatizo ya kisaikolojia tu
 
kunywa chai ya mdalasini iliyochanganywa na asali mbichi ya nyuki wadogo mara kwa mara
 
1.fanya mazoezi
2. tumia kitunguu swaum na asali mara kwa mara ila usizidishe sana. punje 5 kwa siku. au kila chakula chako kiwe na kitunguu swaum.
3.asali na mdalasini...
4.kunywa yai bichi za kienyeji saba zilizochanganywa na habatsoda ya unga mara kwa mara kwa muda wa mwezi mmoja
 
1.usile ugali wa unga wa sembe. kula dona
2.usipendelee kula chipsi
3.kunywa maji mengi. lau lita 3 kwa siku
4. nenda kwa daktari ucheki afya esp presha, sukari,figo na matatizo ya tumbo
 
[h=2]Faida za Kitunguu Swaumu Mwilini Hizi Hapa (Upungufu wa Nguvu za Kiume)[/h]
Kuna vitu vidogodogo lakini sisi huwa hatujui faida zake mwilini, Kwa mfano kitunguu swaumu ambacho akina mama zetu nyumbani wamezoa kuweka katika pilau lakin kina faida kubwa sana mwilini. Wengi wamekuwa hawapendii hii harufu ya swaumu kutokana na kwamba ukila lazima mdomo wako unuke swaumu au pilau fulani iv sasa Ili kuepukana na harufu ya kitunguu swaumu baada ya kukila unashauriwa kunywa maji mengi uneutralize hii harufu

Kitunguu swaumu kimekusanya protin 49%,sulphur 25%, chumvi,inasaidia kuongeza nguvu za kiume,kuua sumu,vikojozavyo,wenye matatizo ya hedhi, kuyeyusha mafuta na viini vyenye kuua minyoo.Kila utafiti unapoendelea ndipo faida na maajabu ya kitunguu swaumu yanapoongezeka.

Haya ni maradhi yanayotibika kwa Kitunguu Swaumu



1.Kuua sumu

2.Kisafisha tumbo

3.Kiyeyusha mafuta(cholestro)

4.Huzuia kuvuja kwa damu

5.Kusafisha njia ya mkojo

6.Kutibu amoeba

7.Kuzuia kuhara damu(Dysentery)

8.Tumbo kushindwa kumeng'enya(Indigestion)

9.Gesi

10.Msokoto wa tumbo

11.Typhoid

12.Kidonda kilichooza

13.Dondakoo

14.Mabaka

15.Baridi yabisi(Rheumatisim)

16.Mishipa

17.Uziwi

18.Virusi vya homa ya mafua(Influenza)

19.Mafua

20.Saratani(Cancer)

21.Kifaduro

22.Kifua kikuu cha mapafu

23.Kipindupindu

24.Kutoa minyoo

25.Upele

26.Kuvunjavunja mawe katika figo

27.Mba kichwani

28.Kuupa nguvu ubongo

29.Kuupa nguvu fizi

30.Kuzuia meno kung'ooka

31.Nguvu za kiume

32.Maumivu ya kichwa

33.Kizunguzungu/kisunzi

34.Kutuliza maumivu ya meno

35.Kujenga misuli na kutia nguvu

36.Mkakamo wa ateri(Arteriosclerosis)

37.Shinikizo la damu

38.Kinga ya tauni na ukimwi

39.Magonjwa ya macho


Kitunguu swaumu inaweza kuchanganywa kwenye vitu kama maziwa, asali, habatsouda, juisi,

NB; Dawa za asili hufanya kazi taratibu hivyo huwezi kuona effect kesho asubuhi ukianza kutumia kuwa mpole matokeo utayaona Tu..

Wakubwa mnaweza kuongezea kwa nilicho kisahau hapa
 
1.usile ugali wa unga wa sembe. kula dona
2.usipendelee kula chipsi
3.kunywa maji mengi. lau lita 3 kwa siku
4. nenda kwa daktari ucheki afya esp presha, sukari,figo na matatizo ya tumbo

hasa kisukari, pressure siyo lazima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…