Jamani nahitaji msaada wenu tafadhari (tendo la ndoa)

Nunua vifaa vya mazoezi,kimbia asubuhi na jioni.na fanya mazoezi ya viungo...baada ya mwezi utaleta majibu na ni lazima umpiku Messi katika kupachika mabao..
 

tatizo lako linatokana na upungufu wa homoni za kiume- ushaur wowote utakaopewa hauwez kukusaidia bila ya kupata tiba kwanza then ndo ufanye hayo mengine yote

kuna Dr. kapona retired wa Muhimbili kafungua kituo chake maeneo ya Chanika, ukifika utafanyiwa vipimo na kisha tiba
 
acha puli

fanya cn mazoez

usipende kula chips mayai na sembe

jitahd ukiw ktk game uwaze kitu kingine usivute hisia unapogonga mzigo

km unaweza mwambie mpnz wako awe anakupanua makalio hewa ikipenya ndan huwez kupiz

ukiona unakaribia kupiz toa nje mtalimbo

usiwe na papara nakuvuta cna hisia unapogonga papuchi
 
km unaweza mwambie mpnz wako awe ANAKUPANUA MAKALIO hewa ikipenya ndan huwez kupiz

Aisee mi nachekaga sanaaaaaaaaaaaa.. Hahahaaaaaaaa
 

nenda Jf Doctor maswali yako yamejibiwa vizuri
 

Weka na dozi
 
maombi pia huwa yanasaidia. Pray befor you eat.
 

hivi unampaje mtu ushauri kwa uhakika kabisa wakati hujui tatizo lake? Mtu mwenyewe kasema anataka walau afike nusu saa. Kwani SI unit ni dakika ngapi? Hajasema anachukua muda gani kwenda ngwe nyingine. Si ajabu anataka baada ya dakika 10. Na unavyomwambia abugie mdalasini ushampima figo? Unavyomwambia abugie mayai yote hayo unajua ana uzito gani? afya yake ya moyo unaijua?

We mwenye tatizo kaongee na daktari. Ukishatoka kwa daktari mmoja, nenda kwa mwingine ili ulinganishe. Utakuja kula vitunguu thwaumu wanawake wakukimbie kisa shombo.
 
asante sana ndugu yangu @ hugochavez
 
asante kwa ushauri @ tonii herrera
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…