Jamani naipenda hii ID, sijajua sasa ni ke kweli au me

Jamani naipenda hii ID, sijajua sasa ni ke kweli au me

tutuberti

JF-Expert Member
Joined
Apr 26, 2023
Posts
403
Reaction score
594
Niende kwa ufupi, kuna hii avatar yenye shape la kwenda na mgongo mzuri.
Nimempenda huyu mwenye id

Nimeona nianze hapa ili wenye abc wanisaidie kabla sijaenda inbox,
Hii avatar inaitwa witnessj

Nimeamua kuja kwanza kwenu wazee. Kijana nimeamua kuonesha heshima kwanza kabla ya kuchukua maamuzi rasmi.

Jamani nisaidieni natoboaje hapa? Kama kuna walakini mnijulishe tafadhali,nina maana yangu kuanza kuja hapa. Ahsanteni sana
 
Back
Top Bottom