M mashambani kwao JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 370 Reaction score 56 Aug 23, 2012 #1 Habr zenu,et dawa ya mbavu n ipi? Naumwa mbavu za kushoto,na huwa nahc kuungua chin ya mbavu hizo! Ntashukuru kama mtanisaidia
Habr zenu,et dawa ya mbavu n ipi? Naumwa mbavu za kushoto,na huwa nahc kuungua chin ya mbavu hizo! Ntashukuru kama mtanisaidia
HAZOLE JF-Expert Member Joined Feb 25, 2011 Posts 1,551 Reaction score 713 Aug 23, 2012 #2 SWALI; 1. unakunywa pombe? 2. if yes in 1 above, wanywa pombe kali? mbali na maswali hayo, fanya cheka up hospital mkuu mashambani kwao said: Habr zenu,et dawa ya mbavu n ipi? Naumwa mbavu za kushoto,na huwa nahc kuungua chin ya mbavu hizo! Ntashukuru kama mtanisaidia Click to expand...
SWALI; 1. unakunywa pombe? 2. if yes in 1 above, wanywa pombe kali? mbali na maswali hayo, fanya cheka up hospital mkuu mashambani kwao said: Habr zenu,et dawa ya mbavu n ipi? Naumwa mbavu za kushoto,na huwa nahc kuungua chin ya mbavu hizo! Ntashukuru kama mtanisaidia Click to expand...
BAGAH JF-Expert Member Joined Jan 17, 2012 Posts 4,523 Reaction score 1,060 Aug 23, 2012 #3 mh! ngumu... ila usikiri KUFA... SHETANI ANAMASIKIO NA ATATUMIA MANENO YAKO KUKUTEKETEZA!
M masalu mhalagani Member Joined Jul 30, 2012 Posts 11 Reaction score 0 Aug 27, 2012 #4 ebu chunguza kama huko chini ni mitaa ya mbavu ya 10 au karibukaribu na apo mitaa hiyo hupatikana bandama(spleen),then nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi!!
ebu chunguza kama huko chini ni mitaa ya mbavu ya 10 au karibukaribu na apo mitaa hiyo hupatikana bandama(spleen),then nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi!!
King’asti Platinum Member Joined Nov 26, 2009 Posts 27,855 Reaction score 24,925 Aug 27, 2012 #5 Sasa si uende hospitali jamani? Au umekula ukashiba sana, lol
Kongosho JF-Expert Member Joined Mar 21, 2011 Posts 35,991 Reaction score 24,211 Aug 27, 2012 #6 hata dispensari tu huendi??