Jamani nakufaaaa

Jamani nakufaaaa

mashambani kwao

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2011
Posts
370
Reaction score
56
Habr zenu,et dawa ya mbavu n ipi? Naumwa mbavu za kushoto,na huwa nahc kuungua chin ya mbavu hizo! Ntashukuru kama mtanisaidia
 
SWALI;
1. unakunywa pombe?
2. if yes in 1 above, wanywa pombe kali?

mbali na maswali hayo, fanya cheka up hospital mkuu

Habr zenu,et dawa ya mbavu n ipi? Naumwa mbavu za kushoto,na huwa nahc kuungua chin ya mbavu hizo! Ntashukuru kama mtanisaidia
 
mh!
ngumu...
ila usikiri KUFA...
SHETANI ANAMASIKIO NA ATATUMIA MANENO YAKO KUKUTEKETEZA!
 
ebu chunguza kama huko chini ni mitaa ya mbavu ya 10 au karibukaribu na apo
mitaa hiyo hupatikana bandama(spleen),then nenda hospitali kwa uchunguzi zaidi!!
 
Sasa si uende hospitali jamani?
Au umekula ukashiba sana, lol
 
Back
Top Bottom