Jamani nalia bado na hizi smartphone

Jamani nalia bado na hizi smartphone

wakusoza

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2016
Posts
628
Reaction score
648
*Bado nalia na hizi smartphone, mwenzenu leo nilikuwa mbali kidogo na nyumbani mara nikapokea sms kutoka kwa mshua ikisema "Njoo nyumbani mara moja". Sasa badala ya mimi kujibu "kuna nini?" mimi nikajibu "**** nini?" Hadi usiku sijarudi nyumbani.*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpigie mwambie simu yangu kuna mtoto alikua anaichezea[emoji23][emoji23]

kuanzia leo ieleweke kwamba "Tecno sio Simu"
 
*Bado nalia na hizi smartphone, mwenzenu leo nilikuwa mbali kidogo na nyumbani mara nikapokea sms kutoka kwa mshua ikisema "Njoo nyumbani mara moja". Sasa badala ya mimi kujibu "kuna nini?" mimi nikajibu "**** nini?" Hadi usiku sijarudi nyumbani.*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
😀😀😀😀
 
Watumia wereva......mchina!!!!! 🤣🤣🤣🤣
 
*Bado nalia na hizi smartphone, mwenzenu leo nilikuwa mbali kidogo na nyumbani mara nikapokea sms kutoka kwa mshua ikisema "Njoo nyumbani mara moja". Sasa badala ya mimi kujibu "kuna nini?" mimi nikajibu "**** nini?" Hadi usiku sijarudi nyumbani.*
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
daaaa pole sana
 
Back
Top Bottom