Ndugu zangu watazamaji wa TBC1 sijui kama hili nalo mmeliona. Hii TV yrtu ya Taifa ina mapungufu ingawaje wanajitahidi kwa namna fulani. Mara picha zinatoka ambazo hazikukusudiwa, mara habari za Arica wanasema ni za bisahara! Kuna kukera fulani ambako ni kama kunasabishwa na unprofessional hivi. mara utasikia "samahani habari hiyo haijawa tayari", kama haijawa tayari mbona umeitangaza? halafu mpaka mwisho wa taarifa haiwi tayari tena, mnakurupuka?