Jamani nalia na TBC1

Jamani nalia na TBC1

Msongoru

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2008
Posts
306
Reaction score
24
Ndugu zangu watazamaji wa TBC1 sijui kama hili nalo mmeliona. Hii TV yrtu ya Taifa ina mapungufu ingawaje wanajitahidi kwa namna fulani. Mara picha zinatoka ambazo hazikukusudiwa, mara habari za Arica wanasema ni za bisahara! Kuna kukera fulani ambako ni kama kunasabishwa na unprofessional hivi. mara utasikia "samahani habari hiyo haijawa tayari", kama haijawa tayari mbona umeitangaza? halafu mpaka mwisho wa taarifa haiwi tayari tena, mnakurupuka?
 
Ni jambo la kawaida kuona matatizo uliyoyaeleza hapo juu kuhusiana na TBC1. Sijui ni tatizo gani. Ninadhani watangazaji na mafundi huwa hawaangalii vipindi hivyo kabla ya kuvirusha hewani.
 
Bora ingebaki kama zamani,tena redio ndio usiseme.
 
TBC1 ilijengwa wakati ambapo UFISADI ulikuwa umetamalaki kila kona. Ina mavyombo mengi feki. Tido amefanya kazi kubwa kwelikweli kuifikisha hapo hivi sasa.
 
Back
Top Bottom