Chozi Jeusi
Member
- Sep 18, 2013
- 7
- 0
Jaman mm ni mvulana mwenye umri wa miaka 22 nipo kidato cha sita. Namtafuta msichana ambaye anaweza kuwa girlfriend wangu mwenye umri kat ya miaka 19-22 kama yuko tayar naomba anindikie namba yake ya simu.
kazi kweli kweli...............usijali utampata huyo gelofurendiii
Kazi ipo! Najiuliza zaidi hii ya kuja kutafutia huku, wala hata sio madenti wenzie!