Jamani namtafuta

Jamani namtafuta

Chozi Jeusi

Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
7
Reaction score
0
Jaman mm ni mvulana mwenye umri wa miaka 22 nipo kidato cha sita. Namtafuta msichana ambaye anaweza kuwa girlfriend wangu mwenye umri kat ya miaka 19-22 kama yuko tayar naomba anindikie namba yake ya simu.
 
Mulugooo njoo huku kamata hii mtoto yako inaharibu hari ya hewa humu kwa wakubwa.
 
Soma kwanza kijana,mapenzi yapo na yataendelea kuwepo na hayazeeki unakimbilia nn?siku si nyingi utarudi na uzi wa kuelekezwa kutoa kizimbo ishhhhh!
 
Jaman mm ni mvulana mwenye umri wa miaka 22 nipo kidato cha sita. Namtafuta msichana ambaye anaweza kuwa girlfriend wangu mwenye umri kat ya miaka 19-22 kama yuko tayar naomba anindikie namba yake ya simu.

bado mdogo sana kiumri mdogo wangu,kwa nini usikazanie shule kwanza at least ata umalize chuo kikuu kwanza ndio uanze kujiingiza ktk mahusiano?
 
Soooma soma soma kijana...masiku yazidi badilika!!!! Somaaaaaaaaaaa!!!!
 
Kazi ipo! Najiuliza zaidi hii ya kuja kutafutia huku, wala hata sio madenti wenzie!
 
Dah dogo kiukwel humu hapakufai, humu ni kwa wale wakubwa, kwanini ujisumbue na madem mdg wng hawa wapo siku zote tumeumbiwa sisi, piga kitabu dogo, kawambwa mwenyewe hatabirik cku izi, itabidi tubandike tangazo humu kuwa 'NOT USED FOR THE PEOPLE UNDER THIRD YEAR '
 
Back
Top Bottom