Nimejaribu Kuangalia Watu Wa Rika Tofautitofauti Na Kugundua Kuwa Wanawake Wanakua Usiku Na Mchana Na Mwanamke Hukua Usiku Tu Ndo Maana Wanawake Wanaweza Kuolewa Mapema Na Wanaume Waliowazidi Umri(miaka Mitano Au Zaidi) Wakati Wanaume Bado Wanaonekana Wadogo Ambao Hawastahili Kuoa Kwa Wakati Huo. Jamani Naombeni Ukwel.