jamani naomba mnisaidie

jamani naomba mnisaidie

mbalamula

Member
Joined
Sep 5, 2011
Posts
23
Reaction score
5
Mimi nimepangiwa chuo cha UDOM koz ya nursing ila mkopo hawajanipa na home hawawezi nilipia na vigezo vya mkopo ninavyo nifanyeje,nimekaa home since 2009 kw issue kama hiz?
 
<br />
<br />
dah!pole sana mkuu,waibukie hao bodi huko huko dsm.
 
Ukiona hakieleweki bodi, muibukie minister ofisini kwake.
 
Nenda diploma Education. Nadhani bado hawajaripoti. Kwakuwa wewe ni sayans utakuwa dili sana mtaani, utapata mademu wakal wakali wote.
 
huh..................hbu nkanywe maji glasi moja af nirudi kumshauri kijana
 
Back
Top Bottom