Jamani naomba msaada hapa!..

Jamani naomba msaada hapa!..

Mchakatoh

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2011
Posts
310
Reaction score
44
Habari wanaJF?..mi ni mwl mpya(graduate) nauliza hv unaporipoti kituoni ndo unapewa hela ya kijikimu(siku7)pamoja hela ya mizigo(tani kulingana na km),napata siku hiyo hiyo? msaada tafadhali!
 
Unawaza pesa tu!ualimu ni wito,hata bure we kafundshe tu.
 
Back
Top Bottom