Habari wanaJF?..mi ni mwl mpya(graduate) nauliza hv unaporipoti kituoni ndo unapewa hela ya kijikimu(siku7)pamoja hela ya mizigo(tani kulingana na km),napata siku hiyo hiyo? msaada tafadhali!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.