M Mchakatoh JF-Expert Member Joined Dec 21, 2011 Posts 310 Reaction score 44 Jan 30, 2012 #1 Habari wanaJF?..mi ni mwl mpya(graduate) nauliza hv unaporipoti kituoni ndo unapewa hela ya kijikimu(siku7)pamoja hela ya mizigo(tani kulingana na km),napata siku hiyo hiyo? msaada tafadhali!
Habari wanaJF?..mi ni mwl mpya(graduate) nauliza hv unaporipoti kituoni ndo unapewa hela ya kijikimu(siku7)pamoja hela ya mizigo(tani kulingana na km),napata siku hiyo hiyo? msaada tafadhali!
Perry JF-Expert Member Joined Feb 24, 2011 Posts 10,058 Reaction score 2,195 Jan 30, 2012 #2 Unawaza pesa tu!ualimu ni wito,hata bure we kafundshe tu.