Jamani Naomba Msaada Nikivua Nguo (t Shirt) Inapiga Shoti.

Jamani Naomba Msaada Nikivua Nguo (t Shirt) Inapiga Shoti.

Mavella

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2011
Posts
459
Reaction score
76
Jamani Si Utani Ninatatizo Kila Nikivua Tshirt Inatokea Cheche Kama Vile Kupiga Shoti Je Hii Ni Nini?
 
Lazima itakuwa ni aina ya tshirt ya michezo,yenye mchanganyiko wa polyester kwa wingi,wakati inapokuwa mwilini hukusanya joto na pia nyuzinyuzi zake hukamatana,wakati unapoivua nyuzi zile huachana katika hali fulani ya msuguano unaosababisha hicho unachokiona kama cheche,naamini huna tatizo lolote,zaidi labda wataalamu zaidi watajongea.
 
Nenda kaulkize FB huku hamna dr wa mambo hayo
 
Heeh! Mkuu itakuwa ni Freemason tu hiyo! ohoo
 
Kama ni tatizo bac ni la aina yake.Pole na ufanye mpango uwaone wataalamu.
 
Duh!! umekomaa mkuu, nadhani ukiigusa Tv unaweza kupata HBO.
 
Haya sio maswali ya kidaktari, ni maswali ya gereji,lol
Mbona Swali lake kajibiwa na mkuu.@olyset net
Lazima itakuwa ni aina ya tshirt ya michezo,yenye mchanganyiko wa polyester kwa wingi,wakati inapokuwa mwilini hukusanya joto na pia nyuzinyuzi zake hukamatana,wakati unapoivua nyuzi zile huachana katika hali fulani ya msuguano unaosababisha hicho unachokiona kama cheche,naamini huna tatizo lolote,zaidi labda wataalamu zaidi watajongea.
 
Haya sio maswali ya kidaktari, ni maswali ya gereji,lol
Mbona Swali lake kajibiwa na mkuu.@olyset net
Lazima itakuwa ni aina ya tshirt ya michezo,yenye mchanganyiko wa polyester kwa wingi,wakati inapokuwa mwilini hukusanya joto na pia nyuzinyuzi zake hukamatana,wakati unapoivua nyuzi zile huachana katika hali fulani ya msuguano unaosababisha hicho unachokiona kama cheche,naamini huna tatizo lolote,zaidi Mavella
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom