Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga

Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga

Mrejesho ni mzuri mkuu kwa kuwa wengine tunataka kujiunga katika ufugaji wa samaki.
Tunaomba mrejesho je umefanikiwa kuwapata vifaranga vya samaki?
Tunasubiri jibu mkuu!!
 
Jamani naomba msaada, nimeandaa bwawa nataka nifuge samaki.

Nisaidieni mbegu nzuri ya kufuga.

Mrejesho upo vipi? Ulipata msaada na unataka kufugia wapi (location) ulipo
 
Kama uko mbeya mjini.. Nenda Iyunga kalobe, kuna jamaa anafuga sana samaki na ana hivo vifaranga vya kutosha
Atakushauri vizuri.kwenye Google map ukiangalia hiyo kalobe utaona location inaonekana

Kalobe Fishery.PNG

Mkuu Location husika ndo hiyo siyo?
 
Back
Top Bottom