Mrejesho ni mzuri mkuu kwa kuwa wengine tunataka kujiunga katika ufugaji wa samaki.
Tunaomba mrejesho je umefanikiwa kuwapata vifaranga vya samaki?
Tunasubiri jibu mkuu!!
Kama uko mbeya mjini.. Nenda Iyunga kalobe, kuna jamaa anafuga sana samaki na ana hivo vifaranga vya kutosha
Atakushauri vizuri.kwenye Google map ukiangalia hiyo kalobe utaona location inaonekana