Jamani naomba msaada wenu

Jamani naomba msaada wenu

Mwashelii

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
477
Reaction score
90
Habari zenu wana jamvi. Naombeni msaada wenu,nina mdogo wangu yapata miezi 6 sasa anateseka na ugonjwa wa u.t.i. Nimeshampeleka hospitali na kashatumia vidonge vingi bila mafanikio. Kikubwa anacholalamika ni maumivu chini ya nyonga kuzunguka mgongo mpaka ikanibidi wiki iliyoisha nimpeleke m/nyamala akapige utra sound.Majibu yake ni kwamba hana tatizo la kibofu ila kuna vijidudu vimeenda kushambulia njia ya kizazi.Sasa sielewi nimsaidiaje maana anateseka na kila akipima mkojo bado mchafu.Nifanyeje?
 
mpe pole sana ndugu yetu..ngoja madaktari waje wakupe ushauri na tiba
 
Kama ni wa jinsia ya kiume na hajapitia tohara ndio najua huwa wanasumbuliwa na tatizo hilo.
 
Pliiz mawazo yenu ndio suluisho la ndugu yenu mimi.
 
Back
Top Bottom