Habari wapendwa wote. Ni furaha kubwa niliyonayo kuweza kujiunga na jf ili kusogeza gurudumu la maendeleo mbele.Kwaheshma na taadhima jamani naomba niwe mmoja wenu! Asanteni.
karibu, ila usijisahau wewe ni mgeni ukashikilia remote na kuanza kubadili channel za tv. By the way unakaribishwa ktk jina la Yesu Kristo kwa ajili ya Mungu wetu, kwa maendeleo ya JF na ustawi wa Taifa letu.