The secretary hutaki kuendesha x6 weye? hujui hili bepari moola kwake sio issue? changamka! lol!
Shem karibu lunch,nataka nikutambulishe kwa mtu flan hivi.
Hujawakusia mtu anayeitwa 'daktari wa mapenzi'?unamaanisha jicho kama hili?
View attachment 57192
au kama haya?
View attachment 57193
by the way hayo hayawezi kuwa maagizo ya daktari.....ulikwenda mlingotini nini?:A S tongue:
haswaaa umejuaje mkuu?daktari wako wa mahaba ni nani? The secretary????