Nashukuru sana Ruhazwe kwa kunitia imani na nitauchukua ushauri wako na kuufanyia kazimkuu Joseph ninahakika hayo ni majaribu tu inabidi mzidishe maombi mtashinda,kama mlikua mnasali kabla ya kulala sasa anzisha mchakato wa kulala mapema then amkeni na familia yenu yote kuanzia saa saba msali hata kwa masaa mawili then wewe na mkeo salini mara kwa mara hata mara tatu kwa usiku mzima.naamini hayo ni majarbu ukifanya kwa mfululizo utamjua nani kafanya hvyo ndani ya mwezi.mwambie Mungu sifi mpaka nimeuona utukufu wako,siogopi lolote kwakua najua upo nami wakati wote,fanya muujiza kabla hakujapambazuka....nipe feedback
Leo nimeamka asubuhi na mke wangu,cha kushangaza ni kukuta amechanjwa chale mapajani yaani kila paja chale mbili.
Tumejaribu kujadili ni nini hasa kimetokea tunashindwa kujua,sisi ni wacha Mungu na huwa tunasali kabla ya kulala na hata katika maisha yetu ya kila siku tunamtanguliza Mungu.
Wadau naomba ushauri wenu wa nini kinaendelea na nini cha kufanya.
Ni vyema muendelee na maombi. Kuchanjwa usiku na mtu usiyemfahamu ni dalili tosha za kuwa mmechezewa na imani za kishirikiana.
Leo nimeamka asubuhi na mke wangu,cha kushangaza ni kukuta amechanjwa chale mapajani yaani kila paja chale mbili.
Tumejaribu kujadili ni nini hasa kimetokea tunashindwa kujua,sisi ni wacha Mungu na huwa tunasali kabla ya kulala na hata katika maisha yetu ya kila siku tunamtanguliza Mungu.
Wadau naomba ushauri wenu wa nini kinaendelea na nini cha kufanya.
Pole sana..........inahitajika kujizatiti kiimani zaidi, kama inawezekana ufunge safari na kumleta Padre/mtumishi aombe nanyi na kuibariki nyumba yako na familia nzimaTunaendelea na maombi na tunahitaji ya kwako pia maana huku nilipo hakuna kanisa wala mchungaji japo tunaweza pata ushauri wa kiimani.
Swali ni kwamba je hizo alama mlichunguza kama zipo kipindi mnaenda kulala au mmejikuta zipo asubuhi? suala lingine inwezekana ikawa ni matatizo ya ngozi jaribu kuwaona madaktari wa ngozi kwa ushauri zaidi, na pia endeleeni kufanya maombiLeo nimeamka asubuhi na mke wangu,cha kushangaza ni kukuta amechanjwa chale mapajani yaani kila paja chale mbili.
Tumejaribu kujadili ni nini hasa kimetokea tunashindwa kujua,sisi ni wacha Mungu na huwa tunasali kabla ya kulala na hata katika maisha yetu ya kila siku tunamtanguliza Mungu.
Wadau naomba ushauri wenu wa nini kinaendelea na nini cha kufanya.
Hatukuwa tumezichunguza wakati tunaenda kulala ila wakati wa kuamka asubuhi ndio mke wangu akaziona na zilikuwa bado zina damu damu ikimaanisha kuwa hazikuwa za muda mrefu sana,bahati nzuri mke wangu ni daktari na anajua vizuri kuhusu mambo ya ngozi hivyo suala la kuwa inawezekana ni matatizo ya ngozi halipo,bahati mbaya siwezi kupiga picha maeneo ya alama zilipo hizo chale ila hazifichiki hata kwa kuangalia kwa umbali wa mita moja.Swali ni kwamba je hizo alama mlichunguza kama zipo kipindi mnaenda kulala au mmejikuta zipo asubuhi? suala lingine inwezekana ikawa ni matatizo ya ngozi jaribu kuwaona madaktari wa ngozi kwa ushauri zaidi, na pia endeleeni kufanya maombi
Asante sana mkuu na nashukuru sana kwa ushauriPole sana mkuu!
Hayo ni majaribu ya shetani, kazana sana ktk maombi maana shetani ameona kuna kitu fulani mnakaribia kufanikiwa ambacho mmekuwa mnakiomba kwa muda mrefu, anachofanya ni kujaribu kuwakatisha tamaa ili msifikie lengo lenu. Endeleeni kuomba na kumtanguliza Mungu kwa kila jambo.
Leo nimeamka asubuhi na mke wangu,cha kushangaza ni kukuta amechanjwa chale mapajani yaani kila paja chale mbili.
Tumejaribu kujadili ni nini hasa kimetokea tunashindwa kujua,sisi ni wacha Mungu na huwa tunasali kabla ya kulala na hata katika maisha yetu ya kila siku tunamtanguliza Mungu.
Wadau naomba ushauri wenu wa nini kinaendelea na nini cha kufanya.
Nashukuru sana kwa ushauri na tutaufanyia kazi kwani tunaamini maombi pekee ndio yatakayotuvusha katika hili,naomba pia utujumuishe katika maombi yako maana kwa sasa tunahitaji msaada wa kuunganisha nguvu pamoja na wengine kama wewe ndugu.hapo mkuu,
inatakiwa uwe na imani tena imani kweli kweli kwa MUNGU. tena ukubali
kabisa kuwa MUNGU anaweza. kesheni mkiomba ila msipige kelele hata mtu wa nyumba
ya pili asikie. kwa imani yangu MUNGU wetu ni mwaminifu tena ukimwita
anasikia hasa sala za machozi, MUNGU huwa anajibu hapo hapo. simama imara
katika kuomba na hakiki MUNGU atakuonyesha kitu.