Joseph
JF-Expert Member
- Aug 3, 2007
- 3,518
- 1,089
Leo nimeamka asubuhi na mke wangu,cha kushangaza ni kukuta amechanjwa chale mapajani yaani kila paja chale mbili.
Tumejaribu kujadili ni nini hasa kimetokea tunashindwa kujua,sisi ni wacha Mungu na huwa tunasali kabla ya kulala na hata katika maisha yetu ya kila siku tunamtanguliza Mungu.
Wadau naomba ushauri wenu wa nini kinaendelea na nini cha kufanya.