Jamani naombe ushauri kwa hili linalonikabili kwa takribani miaka mingi sana

Jamani naombe ushauri kwa hili linalonikabili kwa takribani miaka mingi sana

VPN USED2020OCTOBER28

JF-Expert Member
Joined
Oct 27, 2011
Posts
1,505
Reaction score
674
Ni kwamba nikilala halafu nikakunja miguu. Kwa kuibebanisha yaani mguu mmoja juu mmoja chini… yaani nitaweweseka sana kwa kupiga makelele…. Halafu nikilala kwa kuangalia juu kama. Wanavyolazwa watoto wachanga…. Yaani nikilala chali ni kosa kubwa kwangu… nitaweweseka kwa makelele makubwa sana…….. Hata nikilala mchana nilale chali au nilalae kwa kuibebanisha miguu… huwa naweweseka…. Kwa kuota ndoto mbaya kama mtu anataka nivamie au anataka aniue
 
Attachments

  • 1421488351076.jpg
    1421488351076.jpg
    77.9 KB · Views: 307
Ni kwamba nikilala halafu nikakunja miguu. Kwa kuibebanisha yaani mguu mmoja juu mmoja chini… yaani nitaweweseka sana kwa kupiga makelele…. Halafu nikilala kwa kuangalia juu kama. Wanavyolazwa watoto wachanga…. Yaani nikilala chali ni kosa kubwa kwangu… nitaweweseka kwa makelele makubwa sana…….. Hata nikilala mchana nilale chali au nilalae kwa kuibebanisha miguu… huwa naweweseka…. Kwa kuota ndoto mbaya kama mtu anataka nivamie au anataka aniue
Ulalaji wa kishetani huo unao lala wewe.Lala kama wanavyolala Waislam lalia ubavu wa kulia ukichoka lalia ubavu wa kushoto uwe unajigeuza jigeuza hutoweweseka fanya hivyo kisha uje unipe feedback.

attachment.php

USILALE HIVI UTAWEWESEKA NA KUOTA NDOTO MBAYA.

attachment.php

LALA HIVI NDIO ULALAJI MZURI HUTOWEWESEKA USINGIZINI.

attachment.php

USILALE KIFUDIFUDI UTAOTA NDOTO MBAYA NA KUWEWESEKA.
 
Attachments

  • usilale hivi.jpg
    usilale hivi.jpg
    89.2 KB · Views: 735
  • lala hivi.jpg
    lala hivi.jpg
    16.5 KB · Views: 733
  • Usilale kifudi fudi.jpg
    Usilale kifudi fudi.jpg
    20.6 KB · Views: 738
Usije kuwa ulikuwa bwax ama umepiga pilton zako. Mi nalala milalo yote hiyo bila kuweweseka hata chembe..jitahidi kufanya sala kabla ya kulala kama u muislam kuna dua unapokuwa kitandani ukivuta usingizi uje unasoma taratibu mpk unazima safi
 
Kiongozi Kobe ninayokuambia ni ya kweli. Kabisa na mm siyo mlevi
 
Last edited by a moderator:
Pole sana Mti Mtu kingine usile ukashiba sana muda mchache kabla ya kulala na ukiweza ni vyema kufanya mazoezi ya kutembea ama kusoma kitabu au gazeti unapokuwa kitandani
 
Last edited by a moderator:
Ni vema ukafanyiwa maombi.Tafuta mtu au kanisa la wokovu wakuombee kwani wakati mwengine hali hizo zinasababishwa na nguvu za giza.
 
Kuweweseka
Je????!
Kuweweseka kunatokana na sababu kubwa mbili sababu ya kwanza ni ya ulalaji mbaya na sababu ya pili kuweweseka kunatokana na mtu anakuwa na shetani mbaya mwilini mwake sasa unapolala usiku ndio huyo shetani anakujia kukuotesha ndoto mbaya na hapo ndipo unapo weweseka sana ndani ya usingizi Mkuu itara ninafikiri umenielewa vizuri?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom