VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Ni kwamba nikilala halafu nikakunja miguu. Kwa kuibebanisha yaani mguu mmoja juu mmoja chini
yaani nitaweweseka sana kwa kupiga makelele
. Halafu nikilala kwa kuangalia juu kama. Wanavyolazwa watoto wachanga
. Yaani nikilala chali ni kosa kubwa kwangu
nitaweweseka kwa makelele makubwa sana
.. Hata nikilala mchana nilale chali au nilalae kwa kuibebanisha miguu
huwa naweweseka
. Kwa kuota ndoto mbaya kama mtu anataka nivamie au anataka aniue