VPN USED2020OCTOBER28
JF-Expert Member
- Oct 27, 2011
- 1,505
- 674
Ulalaji wa kishetani huo unao lala wewe.Lala kama wanavyolala Waislam lalia ubavu wa kulia ukichoka lalia ubavu wa kushoto uwe unajigeuza jigeuza hutoweweseka fanya hivyo kisha uje unipe feedback.Ni kwamba nikilala halafu nikakunja miguu. Kwa kuibebanisha yaani mguu mmoja juu mmoja chini yaani nitaweweseka sana kwa kupiga makelele . Halafu nikilala kwa kuangalia juu kama. Wanavyolazwa watoto wachanga . Yaani nikilala chali ni kosa kubwa kwangu nitaweweseka kwa makelele makubwa sana .. Hata nikilala mchana nilale chali au nilalae kwa kuibebanisha miguu huwa naweweseka . Kwa kuota ndoto mbaya kama mtu anataka nivamie au anataka aniue
Kuweweseka kunatokana na sababu kubwa mbili sababu ya kwanza ni ya ulalaji mbaya na sababu ya pili kuweweseka kunatokana na mtu anakuwa na shetani mbaya mwilini mwake sasa unapolala usiku ndio huyo shetani anakujia kukuotesha ndoto mbaya na hapo ndipo unapo weweseka sana ndani ya usingizi Mkuu itara ninafikiri umenielewa vizuri?Kuweweseka
Je????!