Jamani naombeni jibu la hili swali

Luthar

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2011
Posts
519
Reaction score
105
jamaa moja alionekana kwenye msiba analia sana akaulizwa vipi aliye kufa ni nani kwako? jamaa akajibu kaka w
a mke wa maiti ni mjomba wangu.je maiti ni nani kwake?
 
aisee we jamaa kwa post hii! hakika umefikiria chini ya kiwango kabisa
 
jamaa moja alionekana kwenye msiba analia sana akaulizwa vipi aliye kufa ni nani kwako? jamaa akajibu kaka w
a mke wa maiti ni mjomba wangu.je maiti ni nani kwake?

Majanga hayo....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…