Jamani naombeni msaada,nimeingiwa na maji sikioni jana kipindi naoga hayajatoka mpk leo, limeziba sisikii zaidi ya ngoma2 na mchato

CONSTANTKD

Member
Joined
Jan 24, 2018
Posts
24
Reaction score
8
Kama mada tajwa hapo juuu isemavyo[emoji jamani naombeni msaada, nimeingiwa na maji sikioni jana kipindi naoga hayajatoka mpaka leo, limeziba sisikii zaidi ya ngoma2 na mchato bc nifanyeje ili yatoke mwenye dawa au ushauri anisaidie plz
 
Inamisha Kichwa upande mmoja (ambako skio limedurika) kaa dakik 10-15 huku unajitingisha kidog kidog yatatoka
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyunyuza matone ya maji ktk upande wa sikio lilliloingiwa na maji kwa kuweka kichwa upande wa kuingiza hayo matone yakishaingia muda huo nyanyua kichwa upande mwengine ili utoe yale maji yaliyoingia na yatatoka yote kwa haraka, simpleee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…