Rama mandara Tz Member Joined Mar 1, 2017 Posts 43 Reaction score 21 Mar 6, 2017 #1 ivii kuna tofauti kati ya kiongozi na muongozaji???
Glenn JF-Expert Member Joined May 23, 2015 Posts 69,329 Reaction score 164,730 Mar 6, 2017 #2 Hebu anza kwa kuelezea unavyofahamu wewe ili tujazie nyama kwenye maelezo yako
Rama mandara Tz Member Joined Mar 1, 2017 Posts 43 Reaction score 21 Mar 6, 2017 Thread starter #3 QUIGLEY said: Hebu anza kwa kuelezea unavyofahamu wewe ili tujazie nyama kwenye maelezo yako Click to expand... mi nahisi kiongozi hafanyi kazi ye ni kuelekeza tu lakini muongozaji ni yule anayekuwa mstari wa mbele na wengine humfuata yeye
QUIGLEY said: Hebu anza kwa kuelezea unavyofahamu wewe ili tujazie nyama kwenye maelezo yako Click to expand... mi nahisi kiongozi hafanyi kazi ye ni kuelekeza tu lakini muongozaji ni yule anayekuwa mstari wa mbele na wengine humfuata yeye
L LLB Member Joined Feb 19, 2013 Posts 53 Reaction score 10 Mar 8, 2017 #4 rammary said: ivii kuna tofauti kati ya kiongozi na muongozaji??? Click to expand... Kiongozi ni mtu anayewaongoza watu ktk sehem au ktk mazingira flan ma huchaguliwa na watu. Muongozaji ni huyo kiongozi anapofanya majukumu yake ya uongozaji
rammary said: ivii kuna tofauti kati ya kiongozi na muongozaji??? Click to expand... Kiongozi ni mtu anayewaongoza watu ktk sehem au ktk mazingira flan ma huchaguliwa na watu. Muongozaji ni huyo kiongozi anapofanya majukumu yake ya uongozaji