:flock:Mimi ni mwanafunzi wa chuo cha mwenge(moshi).ninasomea hesabu na takwimu (BS IN MATHEMATICS AND STATISTICS) hivo basi mwezi ujao (mwezi wa pili) tunatakiwa kufanya fieldwork katika mikoa ifuatayo:-kilimanjaro,arusha,tanga, dar es salaam,mwanza, manyara. au sehemu yeyote ile kwa mwanafunzi mwenye uhakika nje ya mikoa iliyotajwa. sasa basi mwenzenu hata sijui nianzie wapi kutafuta sehemui katika ofisi.ofisi zenyewe ziwe zina dili na mambo ya takwimu mbalimbali kama vile mahospitalin, viwandani,banadarini,mahotelini,masokoni,ofisi za uma au binafsi. kwa yeyote muungwana anaweza kunisaidia ama kwa kunisaidia kunipa namba za mawasiliano katika ofisi fulani niweze kukamilisha hiyo field na hili ni tatizo kwetu kama wanafunzi tumeambiwa tutafute areas wenyewe kwasababu chuo kinafanya jitihada lakini bado wanafunzi wengi watakosa kufanya field zao na ikiwa ni moja katika masomo. ahsanteni.twaweza kuwasiliana kwa +255757736028 au e-mail: mtewelegiven@yahoo.com:flock: