JAMANI NAOMBENI MSAADA WENU

weka tu namba yako hapa waungwana watakusaidia hiyo vocha

Hapana nipo serious siwezi kuanika number yangu hadharani bila sababu ya msingi mm sifanyi biashara

Aliye guswa atanisaidia PM
 
Huna mtu ambaye unaweza hata ukambeep ukamwomba vocha? Kama umekuja hapa maana yake umekamatwa kwelikweli na ndio inafanya iwe sababu ya msingi ya kuweka namba yako tukutumie
 
Mkuu sio wote wanania njema wengine wana mambo yao mbona PM sio mbali mkuu
 
U
Unatumia mtandao gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…