fundi25
JF-Expert Member
- Apr 16, 2013
- 10,378
- 11,537
Walegwa wata juwa! Watu wangu wana angamia kwakukosa marifa!Unamaanisha mini mkuu?
Kwamba nadanga?
Sio hivyo kama unanitumia vocha untuma alafu unasepa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Walegwa wata juwa! Watu wangu wana angamia kwakukosa marifa!Unamaanisha mini mkuu?
Kwamba nadanga?
Sio hivyo kama unanitumia vocha untuma alafu unasepa
Chatu huyo!Alafu wewe ni ME.... kwanini umetumia jina hilo!!!?
Walegwa wata juwa! Watu wangu wana angamia kwakukosa marifa!
weka tu namba yako hapa waungwana watakusaidia hiyo vochaNipo serious mkuu
weka tu namba yako hapa waungwana watakusaidia hiyo vocha
Kumbe hii sio sababu ya msingi?Hapana nipo serious siwezi kuanika number yangu hadharani bila sababu ya msingi mm sifanyi biashara
Aliye guswa atanisaidia PM
Huna mtu ambaye unaweza hata ukambeep ukamwomba vocha? Kama umekuja hapa maana yake umekamatwa kwelikweli na ndio inafanya iwe sababu ya msingi ya kuweka namba yako tukutumieHapana nipo serious siwezi kuanika number yangu hadharani bila sababu ya msingi mm sifanyi biashara
Aliye guswa atanisaidia PM
Kumbe hii sio sababu ya msingi?
Huna mtu ambaye unaweza hata ukambeep ukamwomba vocha? Kama umekuja hapa maana yake umekamatwa kwelikweli na ndio inafanya iwe sababu ya msingi ya kuweka namba yako tukutumie
Mbona suala dogo sana. Wewe weka namba yako watu wakutumie vocha. Muda wa kwenda pm wengine hawana!Nisababu ya msingi mkuu
Kama kweli mkuu unania ya dhati tafadhali njoo PM kama kuna maelezo zaidi nitakupa
Unafikir mtu akijua namba yako ya simu itakuharibia nini au huyo mtu asiye na nia njema atakufanyaje sasa?Mkuu sio wote wanania njema wengine wana mambo yao mbona PM sio mbali mkuu
Unafikir mtu akijua namba yako ya simu itakuharibia nini au huyo mtu asiye na nia njema atakufanyaje sasa?
KeWe ni Me au Ke?
Pm mkuu tafadhaliWeka namba hapa
Unatumia mtandao gani?Heri ya Christmas na mwaka mpya
🎉🎄🎄🎄🎆🎆🎆
Jamani ndugu zangu Nina shida vibaya mno shida yangu sio kubwa sana
Nitashukuru kwayeyote atakaye nielewa
Nina shida ya vocha ya 2000 tuu!! Hata ukinitumia jero nitashukuru
NB:sipo mjini kuna mahali nipo jamanii nimekosa hata ya vocha natakaniwasilia na mama anagu jamaaa
Njoo PM
Natanguliza shukrani
U
Unatumia mtandao gani?
Nipe namba yako pm nikuwekee.Airtel mkuu