Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 49,390
- 152,301
Naona TCU kuna link mpya for higher leaning institutions na nimelog in imekubali kufunguka lakini mchana ilikuwa inagoma.Nimekuta options zifuatazo baada ya kulog in kwenye hiyo link mpya:
1.Selected student lakini uk-click hama kitu
2.Student transfer nayenywe haina kitu kinachotokea uki-click
3.Transferd student
4.Report 4
5.Report 5.
Nadhani inatuhusu sisi ambao ni applicant wapya kwani baada ya ku-log in jina langu likatokea.Na inawezekana ni kwa ajili ya kubadili kozi na vyuo kwani nilipo click option ya transferd student kuna sehemu ya orodha ya vyuo na sababu ya kutaka kubadilisha kozi na chuo ulichoombo.Yaani unatakiwa utoe sababu.
Ila cha msingi ni kuwa kwenye option ya selected student ni hamna chochote kinachotokea uki-click mpaka sasa.
Tusubiri naona kuna dalili ya mambo kuwa hadharani siku si nyingi.
Jaribu na wewe uone ila inabidi uingie kwenye site yao na uchague hiyo link ila ukienda kwenye CAS na ku-click hutaona jipya.