RamaQ
Senior Member
- Nov 10, 2015
- 136
- 115
Kwa anaehitaji kupunguza mwili atafte cider +asali mbichi ya nyuki wadogo original kbsa achanganye ndani ya asali hyo mbichi kisha aweke cider vinegar kiasi kama ni glas moja ndani ya lita 1 ya asali ataona asali inayeyuka kutoka kuwa nzito hadi kuwa kama maji matumizi atumie vijiko viwili vikubwa asubh na jion =matokeo ni haya atakuwa anakunywa maji mengi sana lakini pia
Angalizo
Kama huna mke nakushauri kutokutmia kbsa maana ina mambo siyo ya kawaida juu ya huo mchanganyiko utakuwa unataka kila siku kuzangamua
Pia kwa mgonjwa wa figo kuna mchanganyiko wake
Kwa wanaosumbuliwa na majini uchawi wa kulishwa pia kuna mchanganyiko wake juu ya hyo cider
Kama umelishwa limbwata kuna mchanganyiko wake 1 week matokeo