Aisee sikushauri!!!!, mie mwenyewe najuta, ninademu nimezaa nae Polisi na tunampango wa kuoana, ofcourse yuko kwake na mie nina kwangu, sikuwa nchini kama mwaka hv, nilivyorudi tu baada ya siku kama mbili hv nilikuwa na jamaa zangu tukipata beer kidogo so nikachelewa kurudi nyumbani (kwake), akahofia kuwa nilikuwa na mwanamke mwingine, nilishangaa kwa mara ya kwanza nimepewa kibano cha nguvu!!!(duh), ikabidi niwe mpole mpaka alipotulia nikamwambia "mama hatujaoana kibano chote hiki, je tukioana si ndo itakuwa balaaa", actually kuanzia siku hiyo ikabidi nifikirie mara mbili mbili masuala ya kuja kumuoa. "Mwanajeshi, Polisi NOMAAAA"