Jamani natafuta mpenzi, awe polis au mwanajeshi

Jamani natafuta mpenzi, awe polis au mwanajeshi

bhikola

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
1,131
Reaction score
1,663
Habari zenu wapendwa,
natafuta demu wa kudate naye, na ntakuwa naye angalau kwa mwaka mmoja
awe na shape nzuri (sexy looking and romantic figure)
awe mwanajeshi au polisi
any age below 30
rangi sijali sana ilimradi tu asiwe anatumia "vihatarishi" - vipodozi hatari
awe mnywaji, lakini asipige fegi wala ndumu
sijali sana kama kaolewa au single
if of that characters please pm me
 
Umemiss vitu vizito vyenye ncha kali vinavyorushwa kutoka upande usiojulikana eeh!
 
Mbona hizo sifa wanazo mamiss wa lundega?
 
hhaha alafu wewe utakuwa unapenda wake za watu....maana umesema hujali atakama kaolewa. aibu mkuu ama unataga beep line ya tigo maana wake za watu ndio wanatoa kwa sana mpaka majamaa wananasa
 
kama una usingizi nenda kalale.
 
Nenda kaunta yoyote ya polisi kachane vitabu vyao ndo utakuwa mwanzo wa kujuana nao na utapata frsa nzuri ya kuwachagua
 
Aisee sikushauri!!!!, mie mwenyewe najuta, ninademu nimezaa nae Polisi na tunampango wa kuoana, ofcourse yuko kwake na mie nina kwangu, sikuwa nchini kama mwaka hv, nilivyorudi tu baada ya siku kama mbili hv nilikuwa na jamaa zangu tukipata beer kidogo so nikachelewa kurudi nyumbani (kwake), akahofia kuwa nilikuwa na mwanamke mwingine, nilishangaa kwa mara ya kwanza nimepewa kibano cha nguvu!!!(duh), ikabidi niwe mpole mpaka alipotulia nikamwambia "mama hatujaoana kibano chote hiki, je tukioana si ndo itakuwa balaaa", actually kuanzia siku hiyo ikabidi nifikirie mara mbili mbili masuala ya kuja kumuoa. "Mwanajeshi, Polisi NOMAAAA"
 
Halafu sifa nyingine hawana mishipa ya aibu, watu kujilia kiulani siyo shida kwao.
 
Back
Top Bottom