Abdallahkova
JF-Expert Member
- Apr 19, 2017
- 1,154
- 1,127
Umesema mwenyewe watotowako wanaakilinzuri sozakiccm .ila kweli tuachane namambo yasiasa vipi unapenda kutembelea viwanja gani nikuchek Leo usiku .Ona ulivyodonoa kuniandikia kwa kutetemeka eeeeeeh
Zako zitakuwaje nzuri sasa huku kuninukuu tu uneweweseka.. unaandika halafu hapohapo unaogopa nondo za Cocochanel..
Ha ha haaaaa kituko
Umesema mwenyewe watotowako wanaakilinzuri sozakiccm .ila kweli tuachane namambo yasiasa vipi unapenda kutembelea viwanja gani nikuchek Leo usiku .
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Wanawake wa JF siku usipomfikisha tu kileleni asubuh anareport MMU mapemaaaa.
U-mtu mwema sana.Tatizo weye in sisyemu kindakindaki.Kubali kubadili itikadi,hakika utapata mchumba.Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..
Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.
πππ
π
U-mtu mwema sana.Tatizo weye in sisyemu kindakindaki.Kubali kubadili itikadi,hakika utapata mchumba.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke una majungu hivyo akuowe nani
Nimemuandikia uliyemuwakilishia wazo. Naamini mnafanana hadi akili.The bird of a feather always flock and shit together! Msalimie uliyemuwasilishia jumbe.Mwambie wanaume wa JF wote tumeoa.Akina mama Wegesa ni wakali watatupiga miko ya pua.Hawapendagi uzumbukuku.Eeeeeeh
Mbona ninae ha ha haaa
Naona kiushabiki wa kichama hata hukuelewa niliyoandika.. eeeeeeh
Mume wa pili utamridhia na kuwatosheleza wote?Eeeeeeeeh
Yupo mbona ananipakacha kwa miaka mingi sasa.. eeeeeh labda kama unanitakia nipate mume wa pili
Nimemuandikia uliyemuwakilishia wazo. Naamini mnafanana hadi akili.The bird of a feather always flock and shit together! Msalimie uliyemuwasilishia jumbe.Mwambie wanaume wa JF wote tumeoa.Akina mama Wegesa ni wakali watatupiga miko ya pua.Hawapendagi uzumbukuku.
Mume wa pili utamridhia na kuwatosheleza wote?
Hiyo picha kwenye avatar yako ni kama yule sanamu Samantha!Hata siwezi kujaribu.
Hiyo picha kwenye avatar yako ni kama yule sanamu Samantha!
Hata hilo sanamu linashtukashtuka km wewe?Eeeeeeh
Mbona kwa avatar kichwa kinasogea kukupa pita hukoooo...
Na huyo sanamu umtamanie ni gogo tu.
Hata hilo sanamu linashtukashtuka km wewe?
OKuna nini hapa?
Afute uzi anishike mkono twende nyumbani.Cocochanel anatafuta mume!
O
Ni pm pleaseBasi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..
Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.
πππ
π