Jamani natafuta Mume

Jamani natafuta Mume

Ona ulivyodonoa kuniandikia kwa kutetemeka eeeeeeh

Zako zitakuwaje nzuri sasa huku kuninukuu tu uneweweseka.. unaandika halafu hapohapo unaogopa nondo za Cocochanel..

Ha ha haaaaa kituko
Umesema mwenyewe watotowako wanaakilinzuri sozakiccm .ila kweli tuachane namambo yasiasa vipi unapenda kutembelea viwanja gani nikuchek Leo usiku .
 
Hujasoma kuwa nina wangu wa milele na milele.. au hauelewi maana yake!?

Hadi nimecheka
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Mwanamke una majungu hivyo akuowe nani
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
U-mtu mwema sana.Tatizo weye in sisyemu kindakindaki.Kubali kubadili itikadi,hakika utapata mchumba.
 
Eeeeeeh
Mbona ninae ha ha haaa

Naona kiushabiki wa kichama hata hukuelewa niliyoandika.. eeeeeeh
Nimemuandikia uliyemuwakilishia wazo. Naamini mnafanana hadi akili.The bird of a feather always flock and shit together! Msalimie uliyemuwasilishia jumbe.Mwambie wanaume wa JF wote tumeoa.Akina mama Wegesa ni wakali watatupiga miko ya pua.Hawapendagi uzumbukuku.
 
Eeeeeh
Hiyo hadithi umetunga umejitahidi
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
Ni pm please
 
Back
Top Bottom