Jamani natafuta Mume

Jamani natafuta Mume

Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛
Umesahau kumalizia "Hapa kazi tu"
 
Utaliweza shangingi la ccm mkuu?analala kwenye mikesha ya mwenge unapowashwa hadi unazimwa

Ha ha haaaaa
Nalala wapi eeeeeh
Nimechekaaaaa
Unafikiri mimi nina msukule kama wewe wa kufanya hayo.
 
Me namba yangu ni 10 na kwa nini utake namba ya cm c muanze inbox kwanza
 
Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..

Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..

Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.

Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.

😀😀😀
😛

LEMUTUZI ANAKUFAAA, NAPATA PICHA AKIKUINAMISHA KWA PODIUM HAHAHAHHAAAAAAAAAAAA

CCM HOYEEEEEEE
 
Kumbe unanjijua akikizako so nzuri

Ona ulivyodonoa kuniandikia kwa kutetemeka eeeeeeh

Zako zitakuwaje nzuri sasa huku kuninukuu tu uneweweseka.. unaandika halafu hapohapo unaogopa nondo za Cocochanel..

Ha ha haaaaa kituko
 
Back
Top Bottom