cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 27,885
- 76,043
- Thread starter
- #241
Ni pm please
Kunani!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ni pm please
MhmhmhmhBasi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..
Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.
😀😀😀
😛
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Coco babe bwana hivi ulimpata na mimi niweke bandiko langu
Kumbe mambo rahisi hivyoHuna haja ya kuweka bango shemeji wewe unipe taarifa tu. Nitakupa connection chap.
.Basi ndio hivyo natafuta MUME atakayetoka humu JF.. ili niishi mbeleni na JF rohoni pamoja na mwanaume wewe.. uje nikudekeze usikie raha ambazo hujawahi kusikia maishani mwako.. kwa zaidi..
Karibuni vigezo nitakupatia ukinipa namba yako ya simu sitaki vimeseji uchwara PM. Siasa haihusiki hapa..
Ila mnaonisifiaga kwa nondo zangu PM.. mzidi kubarikiwa. Nawaringishia wanaopenda kuninukuu humu na upupwu wao.
Eeeh nimefikiria tu kama ningekuwa sina wangu wa milele na milele.. halafu nikarusha tangazo hilo love connect huko.. naamini mngemwagika na kunirushia namba zenu bila kufikiria mara mbili.
😀😀😀
😛
CCM mpo?
Kabisa, mpe dada yetu mkuu, wetu huyo...Kumbe mambo rahisi hivyo
wewe watakuwa wanazingua kumpata kigogo mpka waje humu?Mtego huo TISS