Wana JF,
Nimekaa zaidi ya Masaaa nane Natafuta taarifa za jinsi ya kupanda Mlima Kilimanjaro(Pesa Ninayotakiwa kulipa, maandalizi na wapi naweza kwenda na kuanzia Safari yangu)
Naombeni Msaada kama kuna mtu ambae ana info, kwani kilia nikitafuta info kwenye net Nakutana na Info zinazowahusu Wageni tu!.
Ukipata nambie, na mimi nakuja. find out kama kuna bei ya groups maana naweza kuja na marafiki.
aisee,....................... hata mie nina mpango huo lakini nadhani nitachelewa kidogo hadi mwakani nitakapomaliza masomo yangu na kurejea nyumbani................ na possibly ninaweza kuambatana na marafiki kadhaa................. nakutakia kila la heri na mie nitakapokuwa tayari nitaomba ushauri wako......................
Kila mwaka Geita Gold Mine (GGM) wanakuwa na special charity program ya kuchangia HIV victims , huwa wanaandaa upandaji mlima wa kilimanjaro kwa very low cost halafu p3esa hizo zinakwenda kuchangia huo mfuko