Jamani nataka kupanda Mlima Kilimanjaro, naombeni msaada

sekulu

JF-Expert Member
Joined
Jan 17, 2011
Posts
988
Reaction score
158
Wana JF,
Nimekaa zaidi ya Masaaa nane Natafuta taarifa za jinsi ya kupanda Mlima Kilimanjaro(Pesa Ninayotakiwa kulipa, maandalizi na wapi naweza kwenda na kuanzia Safari yangu)

Naombeni Msaada kama kuna mtu ambae ana info, kwani kilia nikitafuta info kwenye net Nakutana na Info zinazowahusu Wageni tu!.
 
Ukipata nambie, na mimi nakuja. find out kama kuna bei ya groups maana naweza kuja na marafiki.
 
You must book through agents, you can simply visit TATO website then you will find tour operators database, I also run a tour company with the similar programs.
 
wasiliana na huyu mtu atakupa maelekezo yote muulize maswali utakayotaka..then he will help you.Nilikuwa TZ last year with my friends na jamaa alinisaidia sana kupanda mlima pamoja na safari .
email yake hii hapa.............bern_tour@yahoo.com.
Good lucky...
 
Wana JF,
Nimekaa zaidi ya Masaaa nane Natafuta taarifa za jinsi ya kupanda Mlima Kilimanjaro(Pesa Ninayotakiwa kulipa, maandalizi na wapi naweza kwenda na kuanzia Safari yangu)

Naombeni Msaada kama kuna mtu ambae ana info, kwani kilia nikitafuta info kwenye net Nakutana na Info zinazowahusu Wageni tu!.

Ukipata nambie, na mimi nakuja. find out kama kuna bei ya groups maana naweza kuja na marafiki.

jaribuni kuMP Eeka Mangi nadhani anaweza kuwapa msaada mnaohitaji.......
 
Kuna jamaa nimempata ila kaniuliza tupo watu wangapi then aseme Gharama, coz kuna Gharama za matent,mpishi na Guide!

So nina mpango wa kucheki raia wengine ili tupande nao, kama kuna mtu anataka kupanda then tushirikiane
 
aisee,....................... hata mie nina mpango huo lakini nadhani nitachelewa kidogo hadi mwakani nitakapomaliza masomo yangu na kurejea nyumbani................ na possibly ninaweza kuambatana na marafiki kadhaa................. nakutakia kila la heri na mie nitakapokuwa tayari nitaomba ushauri wako......................
 
Kila mwaka Geita Gold Mine (GGM) wanakuwa na special charity program ya kuchangia HIV victims , huwa wanaandaa upandaji mlima wa kilimanjaro kwa very low cost halafu p3esa hizo zinakwenda kuchangia huo mfuko
 
Okey hakuna shida nikifanikiwa nitasema kama mimefanikiwa au la!

Kila mwaka Geita Gold Mine (GGM) wanakuwa na special charity program ya kuchangia HIV victims , huwa wanaandaa upandaji mlima wa kilimanjaro kwa very low cost halafu p3esa hizo zinakwenda kuchangia huo mfuko

Unajua huwa inafanyika lini??
 
Back
Top Bottom