ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Mwanaume anae sema " jamani" sijui namuonaje tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivyo hapoHaya sasa nitajie vituo vingine baasi maana kwenda mpk msimbazi mbali
Sasa haya ndio majibu nlokua natafta.
Card naweza nisiipate sehemu nyingine zaidi ya pale msimbazi?
Dah asante sanaaaaKuna kko, sunderland duka la nguo nadhani pia maduka ya vunjabei sinza au Wapigie nid card bure kwa mawasiliano haya 0800110150 watakuelekeza vizuri eneo unaloweza kuzipata hizo card tofauti na hayo maeneo kulingana na eneo ulilopo!
Otherwise basi ufike uwanjani siku ya mechi, utazipata hizo card kwa mawakala pale ila ndio hivyo hilo punguzo sidhani kama utalipata!
Sio wote tupo daslamu mkuu, wengine tupo huku Muleba.Humu jf hamuendagi tizama ball?
Mnaniangusha wakulungu
😂😂😂Kweli lakini. Ila kama hujui nikujuze mechi kubwa kama hizi mpaka washabiki kutoka huko katerero wanakuja aisee. Kuna watu wabishi sana na wanapenda mpira.Sio wote tupo daslamu mkuu, wengine tupo huku Muleba.
Sent from my TECNO BA2 using JamiiForums mobile app