Sultan Kipingo
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 238
- 178
Wakuu kuna mtu anatishia uhai wangu kwa sababu ya mapenzi. Aliyekuwa mpenzi wake sasa hamtaki tena na ni mchumba wangu.
Ananivizia akiwa na kundi la wenzake na kutaka kunidhuru lakn nimekuwa nakwepa mitego yao. Kiukweli sipo huru.
Hivi sheria inasemaje kuhusu mtu kumtishia maisha mtu mwingine na ni zipi hatua stahili za kuchukua?