Jamani natishiwa maisha

Jamani natishiwa maisha

Sultan Kipingo

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2013
Posts
238
Reaction score
178
Wakuu kuna mtu anatishia uhai wangu kwa sababu ya mapenzi. Aliyekuwa mpenzi wake sasa hamtaki tena na ni mchumba wangu.
Ananivizia akiwa na kundi la wenzake na kutaka kunidhuru lakn nimekuwa nakwepa mitego yao. Kiukweli sipo huru.
Hivi sheria inasemaje kuhusu mtu kumtishia maisha mtu mwingine na ni zipi hatua stahili za kuchukua?
 
huyo naye mpuuz mke kama hamtak anang'ang'ania nn...mwambie grlfiend wako na wewe mrpot polisi mmchukulie RB kwa chochote ktakachokupata apewe police notce kuwa atawajbka ila na wewe kama ulimnynganya mwanamkwe kbabe take kea watakung'oa meno
 
Du hizo bado zipo, nadhani huyo jamaa yako ni mtu wa kijijini sana
 
sasa unadhani JF ina jeshi la kulinda watu wanaotishwa maisha sababu ya mapenzi??
 
Wakuu kuna mtu anatishia uhai wangu kwa sababu ya mapenzi. Aliyekuwa mpenzi wake sasa hamtaki tena na ni mchumba wangu.
Ananivizia akiwa na kundi la wenzake na kutaka kunidhuru lakn nimekuwa nakwepa mitego yao. Kiukweli sipo huru.
Hivi sheria inasemaje kuhusu mtu kumtishia maisha mtu mwingine na ni zipi hatua stahili za kuchukua?

Mhh..kama ulimpokonya mwanamke imekula kwako. Ukila vya wenzio na wewe jiandae kuliwa....
 
sasa unadhani JF ina jeshi la kulinda watu wanaotishwa maisha sababu ya mapenzi??

Sasa mkuu ukisema hvyo basi haina mantiki ya wa2 ku2pia mada zao humu.....!!!!!

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom