Unajua MJ1, at some time inabidi uepuke sana mapenzi ya vitabuni aka the 'ideal situation' kwa sababu hiyi haijawahi na wala haitakuwepo
Muhimu ni kuchukulia kila kitu on a 'case by case basis'...nadhani ukichukulia hiyo, basi huutapata presha
wengi wetu tunajikuta tumekwazika kwa sababu ya kuingia kwenye taasisi hii tukufu tukiwa na matarajio makubwa zaidi kuliko hali halisi
mfano tu hapo kwenye kubembeleza...ingia ukijua kwamba kuna mtu naweza kumbembeleza., asibembelezeke au kuna siku ata respond na siku nyingine atakuwa harespond kwenye mbembelezo
Kuna wakati mfano unaweza kuudhiwa kazini na bosi, aidha amekataa kukupandishia salary, au tu jambo jengine....inaweza kuudhi hadi ukirudi home hutaki kuongea na mtu hadi 'hasira ziishe' ...na SIO hasira zote zinaisha kwa kubembelezwa kwa kawaida..wengine tunahitaji a little bit of time to cool down.