Jamani...Nauliza tu

Ni kweli lakini dada yangu ninakueleza HAYA YAPO. Tena utakuta atoa visingizio vya ajabu eti kesho ana kikao asubuh INAHUSU???
 
DC ndio maana nikasema wahenga wangetuwekea tu wazi kuwa mapenzi ni usanii ukibahatika ni bahati yako kuliko sie tunakaa tunaingia kichwa kichwa kwenye mapenzi matokeo yake ndo haya ..... mioyo inapata kutu.

Unajua MJ1, at some time inabidi uepuke sana mapenzi ya vitabuni aka the 'ideal situation' kwa sababu hiyi haijawahi na wala haitakuwepo

Muhimu ni kuchukulia kila kitu on a 'case by case basis'...nadhani ukichukulia hiyo, basi huutapata presha

wengi wetu tunajikuta tumekwazika kwa sababu ya kuingia kwenye taasisi hii tukufu tukiwa na matarajio makubwa zaidi kuliko hali halisi

mfano tu hapo kwenye kubembeleza...ingia ukijua kwamba kuna mtu naweza kumbembeleza., asibembelezeke au kuna siku ata respond na siku nyingine atakuwa harespond kwenye mbembelezo

Kuna wakati mfano unaweza kuudhiwa kazini na bosi, aidha amekataa kukupandishia salary, au tu jambo jengine....inaweza kuudhi hadi ukirudi home hutaki kuongea na mtu hadi 'hasira ziishe' ...na SIO hasira zote zinaisha kwa kubembelezwa kwa kawaida..wengine tunahitaji a little bit of time to cool down.
 
Ile kitu ni very unique haina sijui mtu unaumwa tena wengine ndio huwa wanapona baada ya kuona biolojia
 
Huyu ni mwingine tena wa wanamuziki wanaonifanyaga nipate burudiko la moyo wangu.

Jamani mziki inaupenda (Pumbazo la Moyo)
 
DC ndio maana nikasema wahenga wangetuwekea tu wazi kuwa mapenzi ni usanii ukibahatika ni bahati yako kuliko sie tunakaa tunaingia kichwa kichwa kwenye mapenzi matokeo yake ndo haya ..... mioyo inapata kutu.

Uzuri ni kwamba ukijipa moyo maisha yanasonga mbele.

Ila small house zinabembelezwa sana na zinajua kubembeleza saaana! Ndo maana infii inapewa GOLD MEDAL!
 
wachana kabisa na baiologia, actually ina speed up recovery....:tonguez:
 
Uzuri ni kwamba ukijipa moyo maisha yanasonga mbele.

Ila small house zinabembelezwa sana na zinajua kubembeleza saaana! Ndo maana infii inapewa GOLD MEDAL!

The Following User Says Thank You to Dark City For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Nafikiri Kaizer you have a point here............ tatizo ni kuwa uwezo wa kuyajua hayo huwa mara nyingi hatuna hasa pale tunapoingia mahusianoni. Unfortunately we alwayz learn in a hard way.
 
Ni kweli lakini dada yangu ninakueleza HAYA YAPO. Tena utakuta atoa visingizio vya ajabu eti kesho ana kikao asubuh INAHUSU???

sasa kikao........... tena kesho, kinahusu nini? Du, mi sijui natamani kama umpate wa hivyo...............! kila siku likizo............. wengine hata kama ana kikao masaa 2 yajayo, anataka................ anasema ndo mind ita-settle, ata-participate vizuri kikaoni............... kaazi kweli kweli
 
Uzuri ni kwamba ukijipa moyo maisha yanasonga mbele.

Ila small house zinabembelezwa sana na zinajua kubembeleza saaana! Ndo maana infii inapewa GOLD MEDAL!
Ah ok.....Ila utakuta sometimes mwenye nyumba ndogo jamaa akibembelezwa anabembelezeka but akija nyumbani habembelezeki. Anaanza kukunja ndita tangu kwenye kona. Mna vituko nyie!!!
 
Uzuri ni kwamba ukijipa moyo maisha yanasonga mbele.

Ila small house zinabembelezwa sana na zinajua kubembeleza saaana! Ndo maana infii inapewa GOLD MEDAL!

oooooohhhhhhhhhhh oooooooooohhhhhhhhhhhh........... kumbee! sasa na big house ikitaka ibembelezwe sana ifanyaje?
 
Naona sasa wewe unawafahamu wanaume kwa undani. Kuna jamaa alikuwa na homa kali akatembelewa na GF wake akaamua kufanya ngono. Baada ya GF kuondoka ilibidi tuhangaike kumuokoa.

Hao ndio wanaume. Kwa kunyimwa unyumba anaweza kumchukia mwanamke na ukoo wake wote wakiwemo hata watoto wake wa kuwazaa! Acha mchezo na ngono...!
 
that in red sounds too sexy... Sorry for being explicit:A S 13:

Kiongozi nadhani huko ulipo SI KWEMA kabisa....just my observation....confidence level ni 0.01
 
Ah ok.....Ila utakuta sometimes mwenye nyumba ndogo jamaa akibembelezwa anabembelezeka but akija nyumbani habembelezeki. Anaanza kukunja ndita tangu kwenye kona. Mna vituko nyie!!!
ha haaaaaaaaaaaaa, umenichekesha kweli. kuna siku nilienda na uncle wangu kwa small house alikuwa very happy na tulitia story sana tu. muda wa kurudi home kwa mamie ukafika. yaani kuingia mlangoni tu.. hakuna story wala nini............... mi nikawa najishangalia tu...
By the way...............""The one who loves the least, controls the relationship"' this is very true
 
oooooohhhhhhhhhhh oooooooooohhhhhhhhhhhh........... kumbee! sasa na big house ikitaka ibembelezwe sana ifanyaje?

Mbona nimeshasema, Big house inabembelezwa tena sana ila ikitokea hivyo mara nyingi uanze kuandaa uwanja kwa ajili ya mechi! Kwa ufupi ujue jamaa anaaminisha business! Ndo maana kuna watu wanatamani kuhama kitanda mama akitembelewa na jamaa wa Msimbazi!
 
Kiongozi nadhani huko ulipo SI KWEMA kabisa....just my observation....confidence level ni 0.01

Mpwa hiyo signature yako ukitaka kuireverse kwenye mambo ya vimiminika unasemaje?:A S wink:
 
Mi huwa najishangalia tu. basi mimi nilidhani ni huyu wangu tu................. mpaka nilikuwa nawaza kupunguza manjonjo labda atakuwa hatamani tena............. lol!
 
Mi huwa najishangalia tu. basi mimi nilidhani ni huyu wangu tu................. mpaka nilikuwa nawaza kupunguza manjonjo labda atakuwa hatamani tena............. lol!

FP,

Wewe naona umeshagraduate...Tulia ufurahie maisha.

Unakuta mwanamke anakuuliza kwamba, mbona tulifanya jana na leo unataka? Basi uje huyo shule yake bado nyembama...hajafuzu. Kuna kabila nasikia wanawafundisha mabinti zao kuwa mwanamume apewe tu hadi acheue ili mradi binti haumwi...! Hao ndi wanajua mambo yanavyotakiwa kuwa.

Haya mambo yanasumbua sana akili za watu. Kwanza, mwanamume haihitaji kubembelezwa as longer as amepewa dudu bila kubaniwa!
 
umeolewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…