Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,184
Nikilia nabembelezwa kwa upendo,
naye akinuna namliwaza kwa vitendo
Je wewe ushawahi kubembelezwa,
mwenzio mimi nishawahi kubembelezwa nadekezwa........... ah ah nabembelezwaa ah
Fahamu hata kulia ni vitendo.
Vilevile kubembelezwa ni vitendo pia. Vyote ni sawa ila kipimo ni kilicho rohoni ambacho hatukijui kabisa ila mwenye hiyo roho.