Beauty
JF-Expert Member
- Feb 6, 2008
- 540
- 23
Dude ulipotea sana,welkam backSalaam zenu jama.....
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dude ulipotea sana,welkam backSalaam zenu jama.....
mbona huku giza nene?sijui upo dunia gani papaaNa wewe umetokea geti gani mida hii na jua kali namna hii?
Hii sredi mumeichakachua hadi sikumbuki ilikuwa inazungumzia nini tena...... Nikilia nabembelezwa kwa upendoooo
Hii sredi mumeichakachua hadi sikumbuki ilikuwa inazungumzia nini tena...... Nikilia nabembelezwa kwa upendoooo
Habari yako hivi jana tulikuwa pamoja au ni kwamba mtu niliyekuwa nae baada ya kupiga valuu sura ikabadilika ikawa kama ya kwako?
Mpwa unaonaje ukaenda kuzimua? Naona bado ziko kumkichwa. Jana nlikuwa na kajukuu kangu Chudaaaaa. Alikuwa amkata bibiye kucha za miguuni.:A S 103::A S 103::A S 103:
Hii sredi mumeichakachua hadi sikumbuki ilikuwa inazungumzia nini tena...... Nikilia nabembelezwa kwa upendoooo
:smiling::smiling::smiling::smiling: sasa kumbe mjukuu wako tokea uwe chudaaaa na yeye naona ameingia na amesahau thread kabisa akahisi imechakachuliwa hivi ulimpa nini uko:dance::dance::dance::dance:
umenikubusha araj araj
Hahahahahahaha wewe hebu sema taratibu maana jana mh..................Habari yako hivi jana tulikuwa pamoja au ni kwamba mtu niliyekuwa nae baada ya kupiga valuu sura ikabadilika ikawa kama ya kwako?
Babu sijambo kabisa Babu Shkang'Kajukuu umeamkaje?:A S-rose::A S-rose::A S-rose:
Dude ulipotea sana,welkam back
Chuda Raha!:biggrin1::biggrin1::biggrin1:
Babu sijambo kabisa Babu Shkang'
Babu sijambo kabisa Babu Shkang'
Hahahahahahaha wewe hebu sema taratibu maana jana mh..................
Hahahahahahaha wewe hebu sema taratibu maana jana mh..................
Taratibu kajukuu...utaharibu!:grouphug::grouphug::grouphug:
Mjukuu wako mbona kaingia mitini au umempeleka chemba, jana ni wewe na Acid mlikosekana kwenye kikao kifupi cha kujadili kumbukumbu ya JK Nyerere mida ile nilipo :A S 101::A S 101: