MwanajamiiOne
Platinum Member
- Jul 24, 2008
- 10,470
- 6,580
- Thread starter
-
- #461
Shikamoo babu yangu mimi. Ah Babu nimeuliza tu mbona unaleta malumbano?....nitajiweka pembeni ohooooo!!Mjukuu shkang!
Maswali gani unauliza?
Orait nimekuelewa Acid.hisia zipo ila lazima ziwe mutual
Orait nimekuelewa Acid.
Ila katika wakati huu ambapo kila kitu kinachakachuliwa ni vigumu sana kuamini hisia hizi au nakosea?
Orait nimekuelewa Acid.
Ila katika wakati huu ambapo kila kitu kinachakachuliwa ni vigumu sana kuamini hisia hizi au nakosea?
Hapo ndipo unapokosea kajukuu. Mathalan kwa mfano rahisi, Mapenzi ya babu na mjukuu hayana chembe za uchakachuzi. Kama kuna mtu anabisha anaruhusiwa kwenda mahakamani.:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Shikamoo babu yangu mimi. Ah Babu nimeuliza tu mbona unaleta malumbano?....nitajiweka pembeni ohooooo!!
Mzima lakini?
Hahaha Finest lolNaumia na mawazo sijui nini nini...................gari pesa sina ndio maana sijui nini nini mchumba aisee huo wimbo acha, habari za mchana oopsss sori za asubuhi
Hapo ndipo unapokosea kajukuu. Mathalan kwa mfano rahisi, Mapenzi ya babu na mjukuu hayana chembe za uchakachuzi. Kama kuna mtu anabisha anaruhusiwa kwenda mahakamani.:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
Ah babu simaanishi haya ya kwako lol.... afu eti anayebisha aende mahakamani atashtaki kosa gani? Ahahaha utanifanya mkoloni wangu anishtukie maana amezoea kuniona in Blue monday kila jumatatu sasa leo akiona nina smile atanikata mshahara!Hapo ndipo unapokosea kajukuu. Mathalan kwa mfano rahisi, Mapenzi ya babu na mjukuu hayana chembe za uchakachuzi. Kama kuna mtu anabisha anaruhusiwa kwenda mahakamani.:glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy::glasses-nerdy:
The Finest sasa unaanza kuichakachua akili ya Babu yangu hapa............. Utadaiwa mahari sasa hivi kabla hata hujatangaza nia Shauri yako!!Shkangu hivi huu wivu kwa mjukuu mbona unazidi kiasi hicho nikitaka kumletea:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose: na yenyewe itabidi nipite kwako kwa ajili ya kunigongea gate pass?
Shkangu hivi huu wivu kwa mjukuu mbona unazidi kiasi hicho nikitaka kumletea:A S-rose::A S-rose::A S-rose::A S-rose: na yenyewe itabidi nipite kwako kwa ajili ya kunigongea gate pass?
The Finest sasa unaanza kuichakachua akili ya Babu yangu hapa............. Utadaiwa mahari sasa hivi kabla hata hujatangaza nia Shauri yako!!
The Finest sasa unaanza kuichakachua akili ya Babu yangu hapa............. Utadaiwa mahari sasa hivi kabla hata hujatangaza nia Shauri yako!!
Hahaha Finest lol
habari za asubuhi ni poa kabisa huo wimbo wako lol ndo unafanya mazoezi uingie studio nini?
Umenikaa akilini tokea jana hadi sasa
Bila Shaka unamaanisha huo wimbo!!Umenikaa akilini tokea jana hadi sasa
.......Kwa sababu hamkujua kubembeleza kwa upendo wala kuliwaza kwa vitendo lohsikujua kama wewe ni mcheza shoo mzuri namna hii! Hebu nisaidie kumuuliza kajukuu, kwanini jana alitutekeleza mazima?
si kweli kwamba kila kitu kinachakachuliwa...Orait nimekuelewa Acid.
Ila katika wakati huu ambapo kila kitu kinachakachuliwa ni vigumu sana kuamini hisia hizi au nakosea?
...............lol sasa hapa unamchakachua mzima The Finest.... Babu yangu atakudai Starlet toka Ujerumani.Babu yako nimeishaujua udhaifu wake uko wapi nitautumia huo udhaifu kama upenyo wangu, usijali nitahakikisha ili logistics ziende vizuri tutatafuta:car::car:sio ya mjapani lakini nafikiri mjerumani
Mh you might be raiti.............si kweli kwamba kila kitu kinachakachuliwa...